Menu

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo

Wednesday, January 28, 2015

Kuna siri gani katika namba 3-?

Kuna siri gani ktk namba 3-? 
Shetani alimjaribu YESU mara 3,

YESU alianguka na msalaba mara 3,

Petro alimkana Bw.YESU mara 3,

Jogoo aliwika mara 3, YESU alifufuka siku ya 3, Wanawake walienda kaburini siku ya 3 nao walikuwa 3. 

Matanga huanuliwa siku ya 3. 

Mafiga ya kupikia huwa 3. Mashindanoni namba za ushindi ni 3.

Nafsi za Mungu ni 3 Baba Mwana na Roho Mtakatifu. nini maana ya 3?