Orodha ya Vitabu vya Biblia
Vitabu vya Maandiko ya Kiebrania Kabla ya Wakati wa Kawaida (wa Ukristo)
Jina la Kitabu: Mwanzo
Mwandikaji: Musa
Mahali Kilipoandikiwa: Nyikani
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 1513
Muda Unaohusika (K.W.K.): “Hapo mwanzo” mpaka 1657
Jina la Kitabu: Kutoka
Mwandikaji: Musa
Mahali Kilipoandikiwa: Nyikani
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 1512
Muda Unaohusika (K.W.K.): 1657-1512
Jina la Kitabu: Mambo ya Walawi
Mwandikaji: Musa
Mahali Kilipoandikiwa: Nyikani
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 1512
Muda Unaohusika (K.W.K.): Mwezi 1 (1512)
Jina la Kitabu: Hesabu
Mwandikaji: Musa
Mahali Kilipoandikiwa: Nyikani na Nchi Tambarare za Moabu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 1473
Muda Unaohusika (K.W.K.): 1512-1473
Jina la Kitabu: Kumbukumbu la Torati
Mwandikaji: Musa
Mahali Kilipoandikiwa: Nchi Tambarare za Moabu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 1473
Muda Unaohusika (K.W.K.): Miezi 2 (1473)
Jina la Kitabu: Yoshua
Mwandikaji: Yoshua
Mahali Kilipoandikiwa: Kanaani
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1450
Muda Unaohusika (K.W.K.): 1473–m. 1450
Jina la Kitabu: Waamuzi
Mwandikaji: Samweli
Mahali Kilipoandikiwa: Israeli
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1100
Muda Unaohusika (K.W.K.): m. 1450–m. 1120
Jina la Kitabu: Ruthu
Mwandikaji: Samweli
Mahali Kilipoandikiwa: Israeli
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1090
Muda Unaohusika (K.W.K.): Miaka 11 ya utawala wa Waamuzi
Jina la Kitabu: 1 Samweli
Mwandikaji: Samweli; Gadi; Nathani
Mahali Kilipoandikiwa: Israeli
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1078
Muda Unaohusika (K.W.K.): m. 1180-1078
Jina la Kitabu: 2 Samweli
Mwandikaji: Gadi; Nathani
Mahali Kilipoandikiwa: Israeli
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1040
Muda Unaohusika (K.W.K.): 1077–m. 1040
Jina la Kitabu: 1 Wafalme
Mwandikaji: Yeremia
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda na Misri
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): Kitabu 1 m. 580
Muda Unaohusika (K.W.K.): 1040-580
Jina la Kitabu: 2 Wafalme
Mwandikaji: Yeremia
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda na Misri
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): Kitabu 1 m. 580
Jina la Kitabu: 1 Mambo ya Nyakati
Mwandikaji: Ezra
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu (?)
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): Kitabu 1 m. 460
Muda Unaohusika (K.W.K.): Baada ya 1 Mambo ya Nyakati 9:44:
Jina la Kitabu: 2 Mambo ya Nyakati
Mwandikaji: Ezra
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu (?)
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): Kitabu 1 m. 460
Muda Unaohusika (K.W.K.): Baada ya 1 Mambo ya Nyakati 9:44:
Jina la Kitabu: Ezra
Mwandikaji: Ezra
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 460
Muda Unaohusika (K.W.K.): 537–m. 467
Jina la Kitabu: Nehemia
Mwandikaji: Nehemia
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): b. 443
Muda Unaohusika (K.W.K.): 456–b. 443
Jina la Kitabu: Esta
Mwandikaji: Mordekai
Mahali Kilipoandikiwa: Shushani, Elamu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 475
Muda Unaohusika (K.W.K.): 493–m. 475
Jina la Kitabu: Ayubu
Mwandikaji: Musa
Mahali Kilipoandikiwa: Nyikani
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1473
Muda Unaohusika (K.W.K.): Zaidi ya miaka 140 kati ya 1657 na 1473
Jina la Kitabu: Zaburi
Mwandikaji: Daudi na wengine
Mahali Kilipoandikiwa:
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 460
Jina la Kitabu: Methali
Mwandikaji: Sulemani; Aguri; Lemueli
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 717
Jina la Kitabu: Mhubiri
Mwandikaji: Sulemani
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): k. 1000
Jina la Kitabu: Wimbo wa Sulemani
Mwandikaji: Sulemani
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 1020
Jina la Kitabu: Isaya
Mwandikaji: Isaya
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): b. 732
Muda Unaohusika (K.W.K.): m. 778–b. 732
Jina la Kitabu: Yeremia
Mwandikaji: Yeremia
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda; Misri
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 580
Muda Unaohusika (K.W.K.): 647-580
Jina la Kitabu: Maombolezo
Mwandikaji: Yeremia
Mahali Kilipoandikiwa: Karibu na Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 607
Jina la Kitabu: Ezekieli
Mwandikaji: Ezekieli
Mahali Kilipoandikiwa: Babiloni
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 591
Muda Unaohusika (K.W.K.): 613–m. 591
Jina la Kitabu: Danieli
Mwandikaji: Danieli
Mahali Kilipoandikiwa: Babiloni
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 536
Muda Unaohusika (K.W.K.): 618–m. 536
Jina la Kitabu: Hosea
Mwandikaji: Hosea
Mahali Kilipoandikiwa: Samaria (Wilaya)
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): b. 745
Muda Unaohusika (K.W.K.): k. 804–b. 745
Jina la Kitabu: Yoeli
Mwandikaji: Yoeli
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 820 (?)
Jina la Kitabu: Amosi
Mwandikaji: Amosi
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 804
Jina la Kitabu: Obadia
Mwandikaji: Obadia
Mahali Kilipoandikiwa:
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 607
Jina la Kitabu: Yona
Mwandikaji: Yona
Mahali Kilipoandikiwa:
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 844
Jina la Kitabu: Mika
Mwandikaji: Mika
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): k. 717
Muda Unaohusika (K.W.K.): m. 777-717
Jina la Kitabu: Nahumu
Mwandikaji: Nahumu
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): k. 632
Jina la Kitabu: Habakuki
Mwandikaji: Habakuki
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 628 (?)
Jina la Kitabu: Sefania
Mwandikaji: Sefania
Mahali Kilipoandikiwa: Yuda
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): k. 648
Jina la Kitabu: Hagai
Mwandikaji: Hagai
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu lililojengwa upya
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 520
Muda Unaohusika (K.W.K.): Siku 112 (520)
Jina la Kitabu: Zekaria
Mwandikaji: Zekaria
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu lililojengwa upya
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): 518
Muda Unaohusika (K.W.K.): 520-518
Jina la Kitabu: Malaki
Mwandikaji: Malaki
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu lililojengwa upya
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): b. 443
Vitabu vya Maandiko ya Kigiriki Vilivyoandikwa Katika Wakati wa Kawaida (wa Ukristo)
Jina la Kitabu: Mathayo
Mwandikaji: Mathayo
Mahali Kilipoandikiwa: Palestina
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 41
Muda Unaohusika (K.W.K.): 2 K.W.K.–33 W.K.
Jina la Kitabu: Marko
Mwandikaji: Marko
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 60-65
Muda Unaohusika (K.W.K.): 29-33 W.K.
Jina la Kitabu: Luka
Mwandikaji: Luka
Mahali Kilipoandikiwa: Kaisaria
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 56-58
Muda Unaohusika (K.W.K.): 3 K.W.K.–33 W.K.
Jina la Kitabu: Yohana
Mwandikaji: Mtume Yohana
Mahali Kilipoandikiwa: Efeso, au karibu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 98
Muda Unaohusika (K.W.K.): Baada ya utangulizi, 29-33 W.K.
Jina la Kitabu: Matendo
Mwandikaji: Luka
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 61
Muda Unaohusika (K.W.K.): 33–m. 61 W.K.
Jina la Kitabu: Waroma
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Korintho
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 56
Jina la Kitabu: 1 Wakorintho
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Efeso
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 55
Jina la Kitabu: 2 Wakorintho
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Makedonia
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 55
Jina la Kitabu: Wagalatia
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Korintho au Antiokia ya Siria
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 50-52
Jina la Kitabu: Waefeso
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 60-61
Jina la Kitabu: Wafilipi
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 60-61
Jina la Kitabu: Wakolosai
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 60-61
Jina la Kitabu: 1 Wathesalonike
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Korintho
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 50
Jina la Kitabu: 2 Wathesalonike
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Korintho
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 51
Jina la Kitabu: 1 Timotheo
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Makedonia
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 61-64
Jina la Kitabu: 2 Timotheo
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 65
Muda Unaohusika (K.W.K.):
Jina la Kitabu: Tito
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Makedonia (?)
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 61-64
Jina la Kitabu: Filemoni
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 60-61
Jina la Kitabu: Waebrania
Mwandikaji: Paulo
Mahali Kilipoandikiwa: Roma
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 61
Jina la Kitabu: Yakobo
Mwandikaji: Yakobo (ndugu ya Yesu)
Mahali Kilipoandikiwa: Yerusalemu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): k. 62
Jina la Kitabu: 1 Petro
Mwandikaji: Petro
Mahali Kilipoandikiwa: Babiloni
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 62-64
Jina la Kitabu: 2 Petro
Mwandikaji: Petro
Mahali Kilipoandikiwa: Babiloni (?)
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 64
Jina la Kitabu: 1 Yohana
Mwandikaji: Mtume Yohana
Mahali Kilipoandikiwa: Efeso, au karibu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 98
Jina la Kitabu: 2 Yohana
Mwandikaji: Mtume Yohana
Mahali Kilipoandikiwa: Efeso, au karibu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 98
Muda Unaohusika (K.W.K.):
Jina la Kitabu: 3 Yohana
Mwandikaji: Mtume Yohana
Mahali Kilipoandikiwa: Efeso, au karibu
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 98
Jina la Kitabu: Yuda
Mwandikaji: Yuda (ndugu ya Yesu)
Mahali Kilipoandikiwa: Palestina (?)
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 65
Jina la Kitabu: Ufunuo
Mwandikaji: Mtume Yohana
Mahali Kilipoandikiwa: Patmosi
Uandikaji Ulikamilishwa (K.W.K.): m. 96
[Majina ya waandikaji wa vitabu fulani na ya mahali fulani vilipoandikiwa si hakika. Tarehe nyingi zimekadiriwa tu, alama b. inamaanisha “baada ya,” k. inamaanisha “kabla ya” na m. inamaanisha “mnamo” au “karibu.”]
No comments:
Post a Comment