Menu

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo

Wednesday, September 17, 2014

TENDA WEMA KWA AJILI YA MUNGU NA SI KWAAJILI YA MWANADAMU

Mathayo 6,1
Ukifanya wema usitegemee malipo kwa mwanadamu bali tegemea malipo kwa baba aliye mbinguni. Imeandikwa Mathayo 6,1Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni