MAOMBI KWA AJILI YA KUPATA MWENZI (MUME/MKE)..
-
*Maandiko*: Mithali 8:22, Mithali 10:24, Zaburi 37:5
*VIPENGELE VYA MAOMBI*
- Katika jina la Yesu (x3)
- Baba wa mbinguni, ninatambua rehema na uamini...
VIDEO MPYA
SOMA BIBLIA KILASIKU
LEARN HEBREW LANGUAGE HERE
NYIMBO/VIDEO
SIKILIZA NYIMBO
Gospel Station TV
SIKILIZA RADIO
Follow us on twitter
Send Email:
Total Pageviews
Translate
Blog Archive
DAMU YA YESU INA NGUVU
Damu ya Yesu ina nguvu sana! Lakini je unajua ni kwa nini ilimwagika katika maeneo tofauti tofauti ya mwili wake?
Kwa mfano, tunasoma ya kuwa; “Hata zilipotimia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; …” (Luka 2:21). Tena imeandikwa katika wakolosai 2:11 ya kuwa: “Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono, kwa kuuvua mwili wa nyama, kwa tohara ya Kristo”.
Hii inaonyesha ya kuwa kutahiriwa kwa Kristo kulikuwa sii tu kwa ajili yake; bali ilikuwa pia kwa ajili yetu sisi tunaomwamini kama mwokozi wetu!
Na alipotahiriwa, damu yake ilimwagika! Jambo hili la kutahiriwa, lilianza wakati wa Ibrahimu (Kama ishara ya mtu kukubali kuingia katika agano na Mungu wa Ibrahimu)
Wakati wa kipindi cha Musa, jambo hili liliingizwa kama agizo la Torati. Hili ndilo lililowafanya “baadhi ya madhehebu ya Mafarisayo” waliokuwa wameokoka, kuwaelekeza wale wasiotahiriwa ya kuwa; “msipotahiriwa kama desturi ya Musa hamwezi kuokoka” (Matendo ya Mitume 15: 1,5)
Jambo la kutahiriwa au kutokutahiriwa kwa jinsi ya mwili, lilikuwa chanzo kikubwa sana cha malumbano na kutokushirikiana kwa Kanisa la Mwanzo
Mitume walijitahidi kulisuluhisha jambo hili waliloliita “Kongwa juu ya Shingo” (Matendo ya Mitume 15:10), kwa kuweka msisitizo wa damu ya Yesu kusafisha mioyo yetu, na kutupa tohara ya rohoni, na kutupa kukubalika mbele za Mungu kwa kufanana. Soma haya katika: Warumi 2: 25 – 29;, Waefeso 2: 11 – 13.
Damu ya Yesu inatupa kuingia katika agano jipya (Luka 22:20), na kutufanya uzao wa Ibrahimu kwa njia ya Yesu Kristo (Wagalatia 3:13, 14, 29)
-Yesu Kristo alipokuwa anatahiriwa, ilikuwa ni ishara ya kuwa damu yake ina nguvu ya kutuweka mbali na mapokeo ya dini yaliyo kongwa juu ya shingo za watu! Damu ya Yesu ina uwezo wa kutuingiza katika uhusiano na Mungu, kwa njia ya agano jipya! Kwa hiyo, damu ya Yesu inaweza kutumika kuondoa kile kinachofanya wakristo washindwe kushirikiana vyema, kwa sababu tu ya tofauti za mapokeo yao!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bantu Tegemeo_Elohi(Official Video)
AFRICAN PRAYS SONGS
BLOG MBALIMBALI.
-
SEMINA MWEZI WA KUMI 2024 DAR ES SALAAM - HAPO CHINI NI AUDIO YA MAHUBIRI YANGU HUKO DAR ES SALAAM SEPTEMBA / OKTOBA 2024 1. ITOENI MIILI YENU IWE DHABIHU ILIYO HAI. SEHEMU 1 2.ITOENI MIILI YENU IW...
-
INJILI YA MILELE - INJILI YA MILELE NI INJILI GANI? “Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, n...
-
Uumbaji wa kutoka chini - Mungu Baba aliye JUU YA YOTE aliumba kila kitu. Neno lake linasema: Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, NI CHEMA SANA. (Mwanzo 1:31) Iwe ni ...
-
-
MAOMBI KWA AJILI YA KUPATA MWENZI (MUME/MKE).. - *Maandiko*: Mithali 8:22, Mithali 10:24, Zaburi 37:5 *VIPENGELE VYA MAOMBI* - Katika jina la Yesu (x3) - Baba wa mbinguni, ninatambua rehema na uamini...
-
MIRIAM CHIRWA NIWEMA WAKE YESU - Ambatana nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi. www.facebook.com/gospelkitaa
-
Muhammad ni "mwana wa uharibifu" (Banu Hashim) - Tena na tena nimekuwa nasisitiza kwamba Mungu wa Biblia SIO mungu wa quran hata kidogo. Ni wawili tofauti. Mifano ifuatayo inathibitisha hilo: Mungu wa ...
-
-
HATUA MUHIMU ZA KUKUA KIROHO - CHUKUA HATUA *MWINJILISTI PAUL* *Joshua 3:1-5* Joshua anawaambia wana wa Israeli kuchukuwa hatua ili kuweza kukabili safari iliyokuwa mbele yao kwa kuwa ...
-
-
-
Follow us on instagram
-
Follow us on facebook
Followers
Popular on NENO ni UZIMA
-
MUHTASARI Uhusiano wetu na Mungu, kama uhusiano baina ya mtu na mtu, lazima uwe na mawasiliano...
-
na mwl christopher mwakasege Je! Umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine nguvu za Mungu zinakushukia kwa uwingi halafu baada ya mud...
-
FREEMASONS NA ILLUMINANT Hiki ni kitabu chenye siri nzito za Freemasons na Illuminanti. Utangulizi. Ni mpango wa Shetani kuangamiz...
-
Uponyaji Kutokana na Dhambi za Kingono, Miungano ya Nafsi, na Kutazama kwa Picha/Sinema Za Watu Walio Uchi Dhambi za Kingono ...
-
T A B IA 6 ZA LAZIMA KATIKA KUJENGA USHIRIKA AU MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU, MKE /MUME, JAMII AU WATU WOTE UTANGULIZI · Mwanadamu sio kis...
-
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI Mwalimu, Mgisa Mtebe 0713 497 654 2. KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU...
-
Sifa Na Kuabudu Yule mwanamke akamwambia [Yesu], ‘Bwana, naona ya kuwa u nabii. Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya...
-
"Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu y...
-
BWANA YESU Asifiwe ndugu msomaji, leo tupitie somo kuhusu Upendo wa Kiungu (AGAPE) na sifa zake. 2WAKORINTHO 13:1-13. Upendo wa Kiu...
-
ROHO YA HEKIMA NA UFUNUO May 2, 2015 Na: Patrick Sanga Salaam katika jina lake BWANA Yesu Katika Waefeso 1:17 Biblia inasema ‘Mun...
No comments:
Post a Comment