MAOMBI KWA AJILI YA KUPATA MWENZI (MUME/MKE)..
-
*Maandiko*: Mithali 8:22, Mithali 10:24, Zaburi 37:5
*VIPENGELE VYA MAOMBI*
- Katika jina la Yesu (x3)
- Baba wa mbinguni, ninatambua rehema na uamini...
VIDEO MPYA
SOMA BIBLIA KILASIKU
LEARN HEBREW LANGUAGE HERE
NYIMBO/VIDEO
SIKILIZA NYIMBO
Gospel Station TV
SIKILIZA RADIO
Follow us on twitter
Send Email:
Total Pageviews
Translate
Blog Archive
MUNGU NI PENDO
Swali: "Je inamaanisha nini kuwa Mungu ni upendo?"
Jibu: Hebu tuweze kuangalia vile Bibilia inaelezea upendo, na kisha baadaye tutaangalia namna chache vile Mungu ni sehemu kuu ya upendo. “Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabiri; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote” (1Wakorintho 13:4-8a).Hii ndilo elezo la juu sana la Mungu kuhusu upendo, na kwa sababu Mungu ni upendo (1Yohana 4:8) hivi ndivyo ilivyo.
Upendo (Mungu) hajilazimishi/haujilazimishi kwa mtu yeyote. Wale wanaokuja kwake wanafanya hivyo kwa kuitikia upendo wake. Upendo (Mungu) huonyesha upole kwa watu wote. Upendo (Yesu) alizunguka kote akifanya mazuri kwa watu wote bila upendeleo. Upendo (Yesu) hakutamani kitu cha wengine walikuwa nacho, aliishi maisha ya unyenyekevu bila kunung’unika. Upendo (Yesu) hakujivunia vile alivyo kuwa kimimwili, ingawa aliweza kumshinda nguvu kila mtu aliyekutana naye. Upendo (Mungu) haulazimishi unyenyekevu. Mungu hakulazimisha Mwnawe kunyenyekea, lakini kwa mubadala Yesu kwa pendo lake alimtii Babaye wa mbunguni. “Lakini ulimwengu ujue ya kuwa nampenda Baba; na kama vile Baba alivyoniamuru; ndivyo nifanyavyo. Ondokeni, twendeni zetu” (Yohana Mtakatifu 14:31). Upendo (Yesu) alitwaza/na huwaza yaliyo mazuri kwa matakwa ya wengine.
Tibitisho kuu la upendo wa Mungu limeelezwa kwetu sisi katika Yohana 3:16 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.” Warumi 5:8 yakiri ujumbe sawa na wa Yohana: “Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.” Tunaweza kuona kutoka aya hizi kuwa nia kuu ya Mungu ni tuwe pamoja naye katika mji wake wa milele, mbinguni. Ameifanya njia rahisi kwa kulipa gharama ya dhambi zetu. Anatupenda kwa sababu alichagua kwa kutekeleza kifungu cha nia yake. Upendo husemehe. “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.” (1Yohana 1:9).
Je inamaanisha nini Mungu ni upendo? Upendo ni sehemu kuu ya Mungu. Upendo ni sehemu kuu ya tabia ya Mungu, na utu wake. Upendo wa Mungu kwa vyovyote vile haugongani/hitilafiana na utukufu wake, utakatifu na haki yake hata gadhabu yake. Sehemu zote za Mungu kwa pamoja zimekamilika. Chochote Mungu anatenda hupendeza, haki kwa sababu kila afanyacho hukifanya kwa haki na usawa. Mungu ni mfano mtakatifu wa upendo wa kweli. Cha kushangaza, Mungu amewapa uwezo wa kupenda vile anavyo penda, kupitia nguvu za Roho Mtakatifu wale wote watakaomkubali Mwanawe kama mwokozi wa maisha yao. (Yohana 1:12; 1Yohana 3:1, 23-24)
- Blog Comments
- Facebook Comments
Bantu Tegemeo_Elohi(Official Video)
AFRICAN PRAYS SONGS
BLOG MBALIMBALI.
-
SEMINA MWEZI WA KUMI 2024 DAR ES SALAAM - HAPO CHINI NI AUDIO YA MAHUBIRI YANGU HUKO DAR ES SALAAM SEPTEMBA / OKTOBA 2024 1. ITOENI MIILI YENU IWE DHABIHU ILIYO HAI. SEHEMU 1 2.ITOENI MIILI YENU IW...
-
INJILI YA MILELE - INJILI YA MILELE NI INJILI GANI? “Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, n...
-
Uumbaji wa kutoka chini - Mungu Baba aliye JUU YA YOTE aliumba kila kitu. Neno lake linasema: Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, NI CHEMA SANA. (Mwanzo 1:31) Iwe ni ...
-
-
MAOMBI KWA AJILI YA KUPATA MWENZI (MUME/MKE).. - *Maandiko*: Mithali 8:22, Mithali 10:24, Zaburi 37:5 *VIPENGELE VYA MAOMBI* - Katika jina la Yesu (x3) - Baba wa mbinguni, ninatambua rehema na uamini...
-
MIRIAM CHIRWA NIWEMA WAKE YESU - Ambatana nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi. www.facebook.com/gospelkitaa
-
Muhammad ni "mwana wa uharibifu" (Banu Hashim) - Tena na tena nimekuwa nasisitiza kwamba Mungu wa Biblia SIO mungu wa quran hata kidogo. Ni wawili tofauti. Mifano ifuatayo inathibitisha hilo: Mungu wa ...
-
-
HATUA MUHIMU ZA KUKUA KIROHO - CHUKUA HATUA *MWINJILISTI PAUL* *Joshua 3:1-5* Joshua anawaambia wana wa Israeli kuchukuwa hatua ili kuweza kukabili safari iliyokuwa mbele yao kwa kuwa ...
-
-
-
Follow us on instagram
-
Follow us on facebook
Followers
Popular on NENO ni UZIMA
-
MUHTASARI Uhusiano wetu na Mungu, kama uhusiano baina ya mtu na mtu, lazima uwe na mawasiliano...
-
na mwl christopher mwakasege Je! Umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine nguvu za Mungu zinakushukia kwa uwingi halafu baada ya mud...
-
FREEMASONS NA ILLUMINANT Hiki ni kitabu chenye siri nzito za Freemasons na Illuminanti. Utangulizi. Ni mpango wa Shetani kuangamiz...
-
Uponyaji Kutokana na Dhambi za Kingono, Miungano ya Nafsi, na Kutazama kwa Picha/Sinema Za Watu Walio Uchi Dhambi za Kingono ...
-
T A B IA 6 ZA LAZIMA KATIKA KUJENGA USHIRIKA AU MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU, MKE /MUME, JAMII AU WATU WOTE UTANGULIZI · Mwanadamu sio kis...
-
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI Mwalimu, Mgisa Mtebe 0713 497 654 2. KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU...
-
Sifa Na Kuabudu Yule mwanamke akamwambia [Yesu], ‘Bwana, naona ya kuwa u nabii. Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya...
-
"Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu y...
-
BWANA YESU Asifiwe ndugu msomaji, leo tupitie somo kuhusu Upendo wa Kiungu (AGAPE) na sifa zake. 2WAKORINTHO 13:1-13. Upendo wa Kiu...
-
ROHO YA HEKIMA NA UFUNUO May 2, 2015 Na: Patrick Sanga Salaam katika jina lake BWANA Yesu Katika Waefeso 1:17 Biblia inasema ‘Mun...