Menu

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo

Wednesday, July 30, 2014

NATAMBUA KWAMBA MIMI SI MTIMILIFU

(Baba Mungu mpendwa, natambua kwamba Mimi si mtimilifu lakini ninashukuru kwa kunipenda)

Mwambie Mungu asante kwa kila jambo ambalo amekufanyia onyesha upendo kwa Mungu maana yeye hutupenda zaidi na zaidi.Amina!

Thursday, July 24, 2014

NI NANI BASI ALIYE MKUU KATIKA UFALME WA MBINGUNI?

Mathayo 18:2-6
2 Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, 
3 akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. 
4 Basi, ye yote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni. 
5 Na ye yote atakayempokea mtoto mmoja mfano wa huyu kwa jina langu, anipokea mimi; 
6 bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi c
ha bahari

Friday, July 18, 2014

JE, NITAFAHAMU NAMNA GANI KWAMBA NINAYE ROHO MTAKATIFU?



Utanena kwenye lugha nyingine ambayo Roho mtakatifu atakupa
baada ya kumpokea. Kwa mara ya kwanza Roho Mtakatifu
kupeanwa katika Matendo 2:4, Biblia inasema, "Wote wakaanza
kunena kwa lugha nyingine ambayo Roho mtakatifu aliwawezesha
kunena."
Mungu alinena kupitia nabii lsaya kwamba mambo haya  3
yatafanyika. 'Bali kwa midomo ya watu wageni, na lugha nyingine
Mungu atanena na watu Wake.
(Isaya 28:11) Yesu akasema ya kwamba watu wote watakao weka
imani yao kwake, watanena kwa lugha hata ile hawakujifunza
(Marko 16:17).
Petro alifahamu ya kwamba watu wa Mataifa walipokea Roho
Mtakatifu kwa sababu aliwasikia wakinena kwa lugha nyingine
kwenye nyumbe ya Komelio (Matendo ya Mitume 10:46). Katika
matendo ya Mitume 19:6, Wakati Paulo aliweka mikono yake juu
yao, Roho Mtakatifu aliwashukia. Wakaanzakunena kwa
lughanyingine na kumtukuza Mungu." Hii inazungumza juu ya
wafuasi wa Efeso. Watu wa Mungu hata leo hunena kwa lugha
wanapo pokea Roho Mtakatifu.

Wednesday, July 16, 2014

USIKOSE KUANGALIA MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA(DODOMA) STAR TV 17-06-2014 SAA KUMI JIONI

Wapendwa nawasalimu katika Bwana.Usikose kuangalia maombi yanayo endele huko Dodoma kuliombea Taifa ambayo yatarushwa mojakwamoja hewani na kituo cha Star TV kesho kuanzia saa kumi jioni.

WHO IS THE HOLY SPIRIT?

Who is the Holy Spirit?

While there is a degree of divine mystery to the nature of the Holy Spirit, He definitely is not a bundle of warm feelings or good memories. Neither is He a vague cosmic force.
In this lesson, you will study biblical evidence proving that the Holy Spirit is a real person who loves and cares for you. You will also discover why He came and how He can make a difference in your life.
The Holy Spirit is a person, the third person of the Trinity: Father, Son, and Holy Spirit. He is not a vague, ethereal shadow, nor an impersonal force. He is a person equal in every way with the Father and the Son. All the divine attributes ascribed to the Father and the Son are equally ascribed to the Holy Spirit.
  1. Personality (a person) is composed of intellect, emotions, and will. In I Corinthians 2:11, what indicates that the Holy Spirit has intellect? What evidence do you observe in Romans 15:30 that the Holy Spirit has emotions? How does the Holy Spirit exercise His will as recorded in I Corinthians 12:11?

  2. Find the word that describes the nature of the Holy Spirit in each of the following references. (John 16:13, Romans 8:2, Hebrews 10:29, Romans 1:4)

  3. What is His function, or role? (John:14:16,26, I Corinthians 3:16, John 16:13-14, Acts 1:8)

  4. What specific actions does the Holy Spirit perform? (Acts 13:2, Acts 8:29, Romans 8:14, John 16:7-8, Romans 8:26, II Thessalonians 2:13)

  5. What are His attributes? (Hebrews 9:14, Psalm 139:7, I Corinthians 2:10-11)

Why Did He Come?

  1. What is the chief reason the Holy Spirit came? (John 16:14)
  2. What will be the logical result when the Holy Spirit controls your life? How does the diagram below compare with your life?
  3. How does the diagram below compare with your life?



Friday, July 11, 2014

UFALME WA MUNGU KWANZA NA MENGINE YATAZIDISHWA ZAIDI NA ZAIDI


Mathayo 6:31-33
Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?
32 Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

Wednesday, July 9, 2014

MWINULIE BWANA SIFA

zaburi 66:1-4
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, 
2 Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake. 
3 Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.

TUMAINI JIPYA KWA YESU BWANA


Katika dhiki twaweza kuwa na amani tukiweka fikara zetu katika Yesu. Imeamdikwa, Isaya 26:3-4 "Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini.
4 Mtumainini Bwana siku zote Maana Bwana YEHOVA ni

mwamba wa milele.

Sunday, July 6, 2014

KUJINASUA MIKONONI MWA WATESI WAKO

Zaburi 70:1-5
 Ee Mungu, uniokoe, Ee Bwana, unisaidie hima. 
2 Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu. 
3 Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe! 
4 Washangilie, wakufurahie, Wote wakutafutao. Waupendao wokovu wako Waseme daima, Atukuzwe Mungu. 
5 Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Bwana, usikawie.