SWALI SI KWAMBA MUNGU HUSEMA NASI LAKINI SWALI NI KWAMBA JE UNASIKIA. Maana Mungu husema nasi kila siku lakini ni jinsi gani tunaweza kutega masikio yetu na kuisikia sauti yake inayotuonyesha njia iliyo salama na yenye mafanikio.Lakini masikio yamezibwa na gundi ya mwovu shetani ambayo hulirutubisha gundi hilo kila siku kwa njia mbalimbali.Tufungue masikio maana shetani hana mamlaka katika ufalme wa Mungu nawe ni mtoto wa Mfalme.
Maombi siku ya tarehe 22/03/2014 Arusha.
-
Hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya j'mosi ya tarehe 22/03/2014 katika viwanja
vya Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha kwa ajiri ya maombi maalum kwa wakina
mama w...
No comments:
Post a Comment